MSANII SUSUMILA KUINGIA KWENYE FILAMU!
Mwanahabari na muigizaji wa filamu nchini Bi Aisha Abushiry maarufu kama @MAMA MADIKODIKO amedokeza kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba, karibuni wataachia filamu ambayo inamshirikisha Msanii Susumila kutoka #001 MUSIC
Na Lemmy Lito Sogohe
Related
Download MP3
MSANII SUSUMILA KUINGIA KWENYE FILAMU!
Source link